Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 117:35:31
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Taarifa ya habari 8 Novemba 2022
08/11/2022 Duración: 19minSerikali ya shirikisho imesisitiza ina nia yakutekeleza ahadi ilizotoa katika kampeni za uchaguzi mkuu, kupitia muswada wao wa mahusiano ya viwanda.
-
Jeshi la Kenya kuongoza vikosi vyawalinda amani DRC
07/11/2022 Duración: 08minKenya inaongoza kikosi cha jeshi la Afrika Mashariki kinacho chukua nafasi ya vikosi vya Umoja wa Mataifa, ambavyo kwa sasa vinashika doria katika Jamhuri yakidemokrasia ya Congo.
-
Taarifa ya Habari 6 Novemba 2022
06/11/2022 Duración: 20minSerikali ya shirikisho imekubali kukutana na vikundi vya biashara katikati, kwa baadhi ya sehemu tata za muswada wamahusiano ya viwanda.
-
Benin "Benchi la ufundi lita hakikisha tunarekebisha makosa tuliyofanya"
04/11/2022 Duración: 05minKombe la Afrika la jamii zinazo ishi mjini Sydney, Australia limefika katika mzunguko wa tatu.
-
Nchi za Afrika Mashariki na Kati zinakwama wapi, kufuzu kwa kombe la dunia?
03/11/2022 Duración: 13minNchi ya kwanza naya mwisho kufuzu kwa kombe la dunia la FIFA ilikuwa Zaire (Jamuhuri yakidemokrasia ya Kongo).
-
Umuhimu wa Melbourne Cup ni nini?
02/11/2022 Duración: 13minMelbourne Cup ni moja ya shindano maarufu la farasi nchini Australia.
-
Taarifa ya Habari 1 Novemba 2022
01/11/2022 Duración: 19minSerikali ya shirikisho na Victoria zimetangaza takriban dola milioni 880 za msaada kwa biashara, wakulima pamoja na mashirika yasiyo yafaida, ambayo yame achwa katika hali ngumu kufuatia mafuriko mabaya ya Victoria.
-
Je! Umeridhika na bajeti ya Chalmers?
31/10/2022 Duración: 07minBajeti ya kwanza ya serikali ya Albanese imepokewa viziru na vikundi vingi.
-
Taarifa ya Habari 30 Oktoba 2022
30/10/2022 Duración: 19minWaziri wa nishati Chris Bowen ametetea sera za nishati za serikali. Bajeti ya shirikisho ya wiki hii inatabiri kupanda kwa bei ya rejareja ya umeme, ya 56% kwa miaka mbili ijayo, wakati bei ya rejareja ya gesi itaongezeka kwa 40% katika wakati kama huo.
-
Dor Jok: "Vijana wengi hapa wanaweza cheza katika A-League wakipewa fursa"
29/10/2022 Duración: 04minLengo la vijana wengi wanao cheza mpira wa miguu nchini Australia, nikuwa wachezaji wakulipwa na hata kushiriki katika michuano yakimataifa.
-
Faida na hatari zaku nunulia bidhaa mtandaoni
26/10/2022 Duración: 10minHatakama kuemelea mtandaoni huwapa watumiaji faida kama, urahisi na punguzo, ila hatua hiyo pia huja na hatari nyingi.
-
Taarifa ya Habari 25 Oktoba 2022
25/10/2022 Duración: 19minMweka Hazina wa taifa Jim Chalmers ame ahidi kutoa bajeti itakayo lenga kutoa afueni kwa gharama ya maisha, kupiga jeki uchumi pamoja nakuwa rafiki kwa familia.
-
Macho yote yaelekezwa Canberra kwa bajeti ya Shirikisho
25/10/2022 Duración: 07minWakati chama cha Labor kina jiandaa kutangaza bajeti yake ya kwanza baada ya takriban muongo, Mweka Hazina wa shirikisho Jim Chalmers anatoa utabiri mpya wakiuchumi.
-
Taarifa ya Habari 23 Oktoba 2022
23/10/2022 Duración: 19minWaziri Mkuu amesema bajeti ya shirikisho itakayo tolewa Jumanne, itakuwa na hatua za usimamizi wa dharura pamoja na maandalizi ya maafa wakati dharura ya mafuriko inaendelea katika sehemu kubwa ya pwani ya mashariki ya taifa kwa wiki ya pili.
-
Jean Marie "Viongozi wajamii wanafanya wawezavyo kusaidia jamii wakati huu wa mafuriko ya Shepperton"
19/10/2022 Duración: 08minMji wa Shepperton jimboni Victoria unaendelea kukabiliwa kwa mafuriko ambayo yame walazimisha wakaaji kuhama nyumba zao nakutafuta hifadhi kwa marafiki na vituo vya dharura.
-
Taarifa ya Habari 18 Oktoba 2022
18/10/2022 Duración: 21minWaziri wa Afya Mark Butler, ame ahidi kuwa madai ya ulaghai yaliyo enea kuhusu mfumo wa medicare yanachukuliwa hatua ipaswayo.
-
Papi "Tuliambiwa usiku saa tano tuondoke nyumbani"
18/10/2022 Duración: 09minBaadhi ya wakaaji wa jiji la Shepperton wanaendelea kupokea huduma katika vituo vya msaada, baada yamafuriko kuwalazimisha kukimbia nyumba zao.
-
Taarifa ya habari 16 Oktoba 2022
16/10/2022 Duración: 18minMafuriko yalazimisha makumi yama elfu yawakaaji wa Shepparton, Orrvale, Murchison, Mooroopna na maeneo yakaribu kutafuta makaazi mbadala.
-
Taarifa ya Habari 11 Oktoba 2022
11/10/2022 Duración: 17minWanafunzi wamatibabu na madaktari waungana na serikali ya shirikisho mjini Canberra, kutafuta suluhu kwa uhaba wama GP nchini.
-
Yves "Ukiwa na wengine unaweza fika mbali zaidi"
09/10/2022 Duración: 08minVijana wengi wenye asili ya Afrika, wame zaliwa naku kuwia katika mazingira yakidini, ila baadhi yao wanapo fika Australia. ndivyo wanavyo iacha dini hiyo nakujitenga na jamii zao.