Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 108:57:08
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodios

  • Somalia yapita mtihani wao dhidi ya Jordan

    02/11/2023 Duración: 05min

    Timu 32 zinashiriki katika michuano ya kombe la dunia, inayo andaliwa na shirika la African Australia Football Association mjini Sydney, NSW.

  • Sudan Kusini yapiga hatua ya kwanza kutetea kombe lao

    02/11/2023 Duración: 04min

    Timu 32 zinashiriki katika michuano ya kombe la dunia, inayo andaliwa na shirika la African Australia Football Association mjini Sydney, NSW.

  • Taarifa ya Habari 31 Oktoba 2023

    31/10/2023 Duración: 21min

    Waziri Bill Shorten amesema taarifa ya pamoja iliyo tiwa saini na mawaziri wakuu sita wa zamani wa Australia, kuhusu vita vya Gaza, kimsingi ina mulika msimamo wa serikali ya shirikisho.

  • Ongezeko za kodi zawafungia baadhi yawapangaji nje ya soko la nyumba za upangaji

    31/10/2023 Duración: 08min

    Wapangaji kote nchini wana onywa kuhusu hali ngumu inayo kuja, wakati utoaji mdogo wa nyumba unaongeza hela za kodi.

  • Mercy 'Tumekuja huku kupata ujuzi kisha tuurudishe nyumbani Kenya"

    31/10/2023 Duración: 12min

    Wakenya wanaendelea kuwasili nchini Australia kwa viza mbali mbali, baadhi yao wakija kama wahamiaji na wengine kama wanafunzi wakimataifa.

  • Taarifa ya Habari 27 Oktoba 2023

    27/10/2023 Duración: 17min

    Vita vya Israel na Hamas vimezua vita vya maneno kati ya chama cha Greens na serikali ya Labor pamoja na chama cha upinzani.

  • Wakenya wafunguka kuhusu umuhimu wa siku ya Mashujaa

    26/10/2023 Duración: 13min

    Wakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW walijumuika katika bustani ya Australia Botanic Garden kwa maadhimisho ya siku ya Mashujaa.

  • Taarifa ya Habari 24 Oktoba 2023

    24/10/2023 Duración: 19min

    Wa Australia ambao wamekwama mjini Gaza, wamesema wameshauriwa mara kwa mara waende katika kivukio cha mpaka wa Rafah na Misri, hata hivyo walipofika huko walipata mpaka huo umefungwa.

  • Penina aweka wazi umuhimu wakuzingatia afya yako ya akili

    24/10/2023 Duración: 11min

    Ugonjwa wa afya ya akili una endelea kuwa kero kwa watu na jumuiya nyingi kote duniani.

  • Peter afunguka kuhusu maandalizi ya sherehe ya Mashujaa Day Victoria

    21/10/2023 Duración: 10min

    Wakenya kote duniani wana jumuika katika hafla za siku yaku waenzi Mashujaa wao.

  • Taarifa ya Habari 20 Oktoba 2023

    20/10/2023 Duración: 20min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali safari yakuenda Israel, kabla ya ziara ya mazungumzo ya pande mbili Marekani wiki ijayo Oktoba 23, wakati chama cha Labor cha Australia kina sisitiza hakija gawanyika kwa sababu ya mgogoro kati ya Israel na Hamas.

  • Blaise "Sijawahi ona uchaguzi ambao unaongozwa kwa taarifa za uongo kama huu wa Ndio au La"

    20/10/2023 Duración: 12min

    Kiwango cha ushindi wa kampeni ya 'La' katika kura ya maoni ya Sauti yawa Australia wakwanza Bungeni, kime zua gumzo kote nchini.

  • David afunguka kuhusu manufaa ya kuwa mwanachama wa Men's Cave Forum

    20/10/2023 Duración: 10min

    Wanaume wenye asili ya Kenya katika jimbo la Victoria, wali anzisha kundi kwa jina la Men's Cave Forum, ambalo hutumiwa kushughulikia maswala mbali mbali yanayo wakumba wanachama wake.

  • Taarifa ya Habari 17 Oktoba 2023

    17/10/2023 Duración: 15min

    Serikali ya shirikisho imesema inaendelea kufuatilia hali inayo endelea kudorora mjini Gaza, wakati Israel ina andaa kufanya mashambulizi ya nchi kavu baada ya hatua yakuzingira mji huo, ambayo mashirika ya msaada yamesema inachangia katika mgogoro wakibinadam.

  • Kura ya maoni ya Sauti yawa Australia wa kwanza bungeni ime isha kwa matokeo ya 'La'

    17/10/2023 Duración: 07min

    Wa Australia wame kataa pendekezo lakuweka sauti yawa Australia wa kwanza ndani ya katiba, baada ya kampeni ya La kushinda katika majimbo yote sita pamoja na wilaya ya Northern Territory.

  • Taarifa ya Habari 16 Oktoba 2023

    16/10/2023 Duración: 06min

    Wa Australia wengine 250 wame hamishwa kutoka Israel, wakati hali ya usalama nchini humo inaendelea kudorora.

  • Wanaume jimboni Victoria wapata sehemu salama yakujumuika nakuchangia uzoefu wao

    13/10/2023 Duración: 10min

    Ni nadra kupata kundi au shirika linalo wahudumia nakushughulikia maswala yanayo wakumba wanaumi katika jamuia.

  • Taarifa ya Habari 13 Oktoba 2023

    13/10/2023 Duración: 18min

    Jumuiya zawayahudi nawa palestina wa Australia, zaendelea kuhofia usalama wa jamaa wao ambao wame kwama katika vita.

  • Kupiga kura ya Voice: Kile ambacho unaweza na hauwezi fanya katika kituo chakupiga kura

    13/10/2023 Duración: 08min

    Maafisa wa uchaguzi nchini Australia wame toa taarifa ya kina kuhusu utaratibu utakao fuatwa, kwa kura ya maoni ya sauti yawa Australia wa kwanza bungeni itakayo fanywa Jumamosi.

  • Taarifa ya Habari 10 Oktoba 2023

    10/10/2023 Duración: 18min

    Maandamano yakupinga Israel yameshuhudiwa mjini Sydney wakati wa makabiliano kati ya jeshi la Israel na Hamas yakiendelea, wakati huo huo mjini Perth, kundi linalo unga mkono Israel limeshiriki katika ibada maalum kwa niaba ya nchi hiyo.

página 13 de 26